Nandy feat Harmonize - Usemi Sina (Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 2,2 тыс.

  • @SaidyRajabu-r5b
    @SaidyRajabu-r5b Месяц назад +373

    Kama unajua mungu ndiye kilakitu kwako piga like 😀😁🇹🇿

    • @simonkulwa
      @simonkulwa Месяц назад +3

      Hongera sana hamo pamoja na nandy

  • @goriaAlexndar
    @goriaAlexndar Месяц назад +208

    Wanaosema ngoma ni Kali weka like hapa waooooooo

  • @Fatuma-l3r
    @Fatuma-l3r Месяц назад +297

    Hawa ni wasanii ambao nawapenda sana yani hapa moyo wangu ninaraha sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤mmefanya kazi nzuri sana🔥🔥🔥

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Месяц назад

      ruclips.net/video/zob8XZ_fUos/видео.htmlsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm

  • @stanokabaridi8138
    @stanokabaridi8138 Месяц назад +221

    Kama unamkubali Harmonize nipe like tukisonga🔥🔥😎💯

  • @PastoryMziba-g4t
    @PastoryMziba-g4t Месяц назад +48

    Ukwer ni kwamba ata mimi moyoni mwangu nawapenda sana HARMONIZE ft NANDY

  • @americana_official
    @americana_official Месяц назад +232

    Harmonize to the world.
    Naomba subscribers wadau

  • @amekusumba5721
    @amekusumba5721 Месяц назад +32

    Nawapenda sana kweli ❤🎉fram Sweden congolaise🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇸🇪🇸🇪⭐️🙌

  • @Bentrixx_
    @Bentrixx_ Месяц назад +74

    Bomboclaaaaaaaat 😤,,konde kauwa humu ndani💯💯💯👊🏾👊🏾👊🏾

  • @Diamon-g9j
    @Diamon-g9j Месяц назад +10

    Huu mwaka ni WA nandy ma female wengine kando!❤❤ Hawana usemi

  • @FreddyJackson-d3m
    @FreddyJackson-d3m Месяц назад +74

    Mimi ni shapiki wa rayvanyn kutoka mjengon Kenya Ila harmonze na nandy siwezi nyimwa like

  • @issafoundation1758
    @issafoundation1758 Месяц назад +142

    Jamani iyo nyimbo mbona inagusa hisia zangu najua apa mpo Tim mbili tofauti Tim Mandy na Tim konde boy wenye Tim nandy tuondoke na Kijiji weka like tujuane❤

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH Месяц назад +116

    Ayiiii guys from Kenya 🇰🇪 Nairobi usemi Sina weka like za nandy and konde boy usemii Sina number 1 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇰🇸🇾🇸🇿🇹🇦🇹🇨🇸🇯🇸🇱🇸🇷🇸🇬🇸🇳🇹🇷

  • @MweyaMweya
    @MweyaMweya Месяц назад +53

    Jamani naomba like kwa konde na Nandi kama unakubali combination yao

  • @rosemarybahali2923
    @rosemarybahali2923 Месяц назад +3

    When Nandy and Harmo meet things explode ....very beautiful voices❤

  • @EmanuelNihoe
    @EmanuelNihoe Месяц назад +5

    Wimbo tamu sana bwa obby Mungu azidishie kipaji chako insh'allah

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize Месяц назад +1159

    Kama unakubali HARMONIZE ametenda haki onyesha upendo hapa. Nandy nae hajawai tuangusha

    • @Farasitz
      @Farasitz Месяц назад +1

      ruclips.net/video/Wq2_8etsz2M/видео.htmlsi=BsBsHkJVLXAiUglH❤❤

    • @Iamjaysimple
      @Iamjaysimple Месяц назад

      ruclips.net/video/hYYuf9Wddd8/видео.htmlsi=JDsj8QxavsAnOdvv

    • @MAMAdou1212
      @MAMAdou1212 Месяц назад +8

      Le boss❤❤❤

    • @Farasitz
      @Farasitz Месяц назад +1

      ruclips.net/video/Wq2_8etsz2M/видео.htmlsi=BsBsHkJVLXAiUglH

    • @FestoMzola-v5h
      @FestoMzola-v5h Месяц назад +8

      Umeua tembo

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 Месяц назад +62

    Nakubali sana toka 254....Number Moja Nakubali harmo na Dee🎉

  • @Wambuesso
    @Wambuesso Месяц назад +100

    Kama una mpenda konde boy gonga like apa tuende mbele from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @gracewanjiku6581
    @gracewanjiku6581 Месяц назад +12

    Konde we fundi wa kuigwa nakupenda bure kutoka Kenya ❤❤❤❤❤weka like ya harmonize

  • @davidcharo2376
    @davidcharo2376 Месяц назад +2

    The song we was waiting for much love 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤

  • @Mrpittyofficial
    @Mrpittyofficial Месяц назад +25

    Huu mwaka ni wa kondeboy, hit after hit gonga like tukisonga ❤

  • @DonbrightKenny
    @DonbrightKenny Месяц назад +35

    Kusema ukwer nyimbo Kali na naipa award ya mwez huu #BOMBOCLAAAAAAAAAAAAAA

  • @TIGER_TALENT
    @TIGER_TALENT Месяц назад +29

    Bomboclaaaa💪💪💪

  • @hamyb1434
    @hamyb1434 Месяц назад +58

    Harmonize ameonyesha eshima kwa mke wamtu hata kwenye kucheza ameonyesha heshima ametulizana

  • @SaidyRashidy
    @SaidyRashidy Месяц назад +14

    Mh brother Elephant 🐘 hii nyimbo umeitendea haki zote 🔥🔥

  • @leofocas7503
    @leofocas7503 Месяц назад +63

    Najuwa harmonize Anaga mchezo kauwa umo ndani

  • @amadazeking
    @amadazeking Месяц назад +6

    The African Queen 👑❤
    Bombo claaaat 🎉💥

  • @mathiasbosire7927
    @mathiasbosire7927 Месяц назад +83

    Wanaosubiri kutoka kenya tujuane kwa likes🇰🇪🇹🇿

  • @divelianjohn1049
    @divelianjohn1049 Месяц назад +1

    Oooh guys...... what a collabo between Nandy and harmonize🎉🎉🎉

  • @dismaskorir1032
    @dismaskorir1032 Месяц назад +1

    ...This song I Sawa some days back I didn't mind,but today has given me a sleepless night.I Second that Bahati gospel is your home much blessings 🙏🏻🙏🏻

  • @Mocle254
    @Mocle254 Месяц назад +39

    🎉🎉Haya ngoma inaondoka hii! Sio ya kawaida❤❤

  • @Ramos-j4y
    @Ramos-j4y Месяц назад +6

    WakwAza kucheki masterpiece Nomaaaaa

  • @NduwayezuFiacre
    @NduwayezuFiacre Месяц назад +17

    Mimi huku Bujumbura naifurahia Ngoma nzuri kbx kutoka kwa African princess

  • @MashaDaiton
    @MashaDaiton Месяц назад +5

    mwamba ajawahi kuferi ata siku moja anatulia sana hila Nandy katulia sana kuimba ili nyimbo🔥mimetisha wote

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz Месяц назад +1

    Daaah tembooo❤❤❤❤

  • @raphaelmussa7662
    @raphaelmussa7662 Месяц назад +19

    Haya namm Baraka kuwa star

  • @jeffmistari4221
    @jeffmistari4221 Месяц назад +4

    ❤❤❤ Nandy 💯... Harmonize 🔥... You've delivered the best ❤❤

  • @paulojohn-vx1qb
    @paulojohn-vx1qb Месяц назад +8

    Nandy unajua unajua tena ngoma kaliiii❤❤❤

  • @LivingstoneJoseph-pu1qf
    @LivingstoneJoseph-pu1qf Месяц назад +3

    Bomboclaaaaaaact 🙌🏼🔥

  • @ev-erum
    @ev-erum Месяц назад +7

    He as done it again thee tembo himself❤❤
    Likes za mkenya halisi zije upande huu🇰🇪🇰🇪

  • @PrinceJeyfour-f3y
    @PrinceJeyfour-f3y Месяц назад +41

    Nandy tunaka utufanyie ngoma na ibrah sasa ju na hormonize kali tayari pia mm sna usemi tayar imebamba

  • @PrivaSamson
    @PrivaSamson Месяц назад +12

    Wowo from Botswana proud with harmonize 👊

  • @FrancisMkelemi
    @FrancisMkelemi Месяц назад +6

    Asante nandy kaz tamu wauweeeeeee❤️❤️❤️❤️💯

  • @ErickJoseph-u5w
    @ErickJoseph-u5w Месяц назад +5

    Nakupenda xnh sister nandy haujawah kuniangusha upo kwenye dunia yako mwenyew one of the best african princess🫅

  • @khalimdavy5701
    @khalimdavy5701 Месяц назад +3

    Chemistry ya nandy na harmonize iko another level nkiwaona kwenye tracky najua ni hit nipeni lyks basi🇰🇪👍

  • @MAMBOIKOHUKUU
    @MAMBOIKOHUKUU Месяц назад +6

    Huwezi mlinganisha. Harmo na alikiba. Katika kumuheshimisha. Huyu dada. Naiman. Nenga kwa hii ya harmo. Amependa sana. Maana hawajashikana shikana sana. Wala. Hakuna zile style za kukumbatiana za hovyo hovyo. ❤️❤️🥰🥰

  • @mohamedmwabeha
    @mohamedmwabeha Месяц назад +17

    Bomboo claaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉unajua mwamba alafu mwanzo mkipatana nyie hamna baya ....alafu mjulishe nandy she is my crush since day one❤❤❤❤❤❤

  • @yollah
    @yollah Месяц назад +22

    Nenga mtoto mwachie konde new cup in town 🎉🎉

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey Месяц назад +2

    bomboclaaaaaaaa
    💥💥💥💥

  • @JabiryShabani-p7u
    @JabiryShabani-p7u Месяц назад +4

    Awa watu wakikutana nimauwaji TU🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 Месяц назад +314

    Ivi mnajua ifikapo 2099 tutakua tumekufa tujitahidi kufanya ibada 🙏 KIFO KINAKUJA 😭

  • @daddymapesatv9878
    @daddymapesatv9878 Месяц назад +10

    Am always supporting good music 🎵 this song is 🔥🔥

  • @ThobiasKowero
    @ThobiasKowero Месяц назад +6

    NANDY 🔥🔥 kaua hatari ngoma ndo inaondoka hukuuuuu

  • @AkimMuguma
    @AkimMuguma Месяц назад +4

    ❤❤❤❤❤ hatari kabisa kwani mlikuwa wapi izi siku zote nakumbuka acha lizame kwa mara nyigine kabisa❤❤❤❤

  • @SparklingMontana
    @SparklingMontana Месяц назад +4

    Very lit harmonize vibes 👌✌️

  • @MosesModoga
    @MosesModoga Месяц назад +9

    Konde gang we outside 🎉Bomboclaaaa❤

  • @Entertainmentfo
    @Entertainmentfo Месяц назад +6

    From mombasa 🇰🇪 kenya am watching my favourite artist Nandy the African princess

  • @IsraelngoroKone-tm7te
    @IsraelngoroKone-tm7te Месяц назад +7

    Much Love from Gauteng Pretoria🇿🇦

  • @dacymajogo2576
    @dacymajogo2576 Месяц назад +1

    Nawapenda sana ❤❤❤❤ nafurahi kuwaonaaaaaa song imetulia yaaan classic knoumaaaa hamonizer ft nady nawapenda buree❤❤❤

  • @rahimsongi6951
    @rahimsongi6951 Месяц назад +3

    Akiimba na bilnass anaimba utumbo... Ila akiimba na wasanii wengine... Mashairi yanaeleweka na ngoma ina hit...

  • @BornfreyKweya
    @BornfreyKweya Месяц назад +5

    Nakubali.....mashairi matamu kweli. Bonge la message

  • @NurahMummy
    @NurahMummy Месяц назад +6

    Nandy hana kazi mbayaa aki❤❤❤❤❤

  • @SAWENTHEPOET
    @SAWENTHEPOET Месяц назад +3

    #2 trending in Kenya ❤ That's my African princess 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kevinkimoi3221
    @kevinkimoi3221 Месяц назад +2

    NGOMA nzur sana,,big up guy's,,,,much love

  • @AleckoKilosh-e3k
    @AleckoKilosh-e3k Месяц назад +1

    This combination imeweza for sure....🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 Месяц назад +4

    Nandy ..she always kill it🎉🎉🎉🎉

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii Месяц назад +79

    Nani mwengine amesikia tu bomblaaat akasema hii ngoma kali💥💥💯

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Месяц назад

      ruclips.net/video/zob8XZ_fUos/видео.htmlsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm

    • @GenerousAzard-fq1ym
      @GenerousAzard-fq1ym Месяц назад +1

      Hatulali kumeekucha😊👥💃🏼👨🏽‍🦯

    • @berryxmsanii
      @berryxmsanii Месяц назад

      @@GenerousAzard-fq1ym 😂😂hapo ushsema mwanangu🫂

  • @Yushimelody
    @Yushimelody Месяц назад +6

    Bomboclaaat❤

  • @JimoseMaxwel
    @JimoseMaxwel Месяц назад

    TEACHER NEVER DISAPINTS ,GOOD JOB TO BOTH

  • @rosegodlove1956
    @rosegodlove1956 Месяц назад +3

    Khaaa!! nyie hii kali had inaboa ❤❤❤

  • @manyotamcmanyotamc-x7f
    @manyotamcmanyotamc-x7f Месяц назад +5

    whao itisongi mpya iyo tichakonde sapotini wimbo uwenfe❤❤❤

  • @HembaDymain
    @HembaDymain Месяц назад +55

    Bomboclaaa 😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤😢❤😮❤😮😂😮😂😮😂😮😂😮😂😮😮😂😅🎉😅🎉😅😂😅😂😮😂😢😂😢😂😢😂😢😂😢😂😮😮😂😮😂😮😂😮😂😂😂😂😢😢😢😂😮😂😮😂😮😂😮😂😅😂😅😂😅😂😮😂😮😂😅😂😮😅😂😅😂😅😂😮😂😮😂😮❤😢❤😢🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉❤. Yaaaaani mpaka kifo tuko na wewe KONDE auja Wahi kutuangusha

  • @cencieromondi5141
    @cencieromondi5141 Месяц назад +5

    Leo nimekuja mapema from kenya ngoma iko lit🔥

  • @pendokullaya1438
    @pendokullaya1438 Месяц назад +3

    Bonge moja la ngoma🥰🙌

  • @findingnasio
    @findingnasio Месяц назад +7

    Listening to this from Blantyre Malawi, moto sana🔥

  • @shanisangatia2123
    @shanisangatia2123 Месяц назад +13

    Bomboclaaaaaaaaaat😅😅😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ Месяц назад +14

    Noma sanaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Iamjaysimple
      @Iamjaysimple Месяц назад

      ruclips.net/video/hYYuf9Wddd8/видео.htmlsi=JDsj8QxavsAnOdvv

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Месяц назад +6

    Pure bongo flavor 🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶⭐⭐✅⭐⭐✅⭐⭐⭐✅⭐✅✅⭐💥💥 bombo claaaaaat

  • @thecapitalofurnitures
    @thecapitalofurnitures Месяц назад

    I would listen to this again and again.Lovely❤❤❤❤❤.This song reminds me of Njiwa with Willy Paul and Habibi that u did with Asley

  • @japhetAdolph-ob1ip
    @japhetAdolph-ob1ip Месяц назад +1

    Kazi nzur sana bomboclaaaaaaaaa 🎉🎉❤😢

  • @TapiwaPhiri-s4h
    @TapiwaPhiri-s4h Месяц назад +27

    Wana conde worldwide❤❤❤nipeni nitoke nimekawiya 😂😂😂

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Месяц назад

      ruclips.net/video/zob8XZ_fUos/видео.htmlsi=-U1cY-WKenEZ_Ysm

  • @mwnaiditina2246
    @mwnaiditina2246 Месяц назад +14

    Nakupenda sana Nandy❤❤❤❤❤

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke Месяц назад +31

    Sasa kwanini nisitulie mfano Unaninyima ninini?? Upo ladhi uugulie Utamu nipate mimi...Konde✍️🔥🔥Usemi sinaaaa🔥🔥 #Kondegang mpoooooo

    • @madizainerke
      @madizainerke Месяц назад

      @@luckyboy_ke ruclips.net/video/aMex179N4OU/видео.htmlsi=7e0QfqC0jURH60UL

  • @B.O.T254
    @B.O.T254 28 дней назад +1

    Always a hit between you two🙌

  • @molovemusic9257
    @molovemusic9257 Месяц назад +2

    waoooo ngoma Kali zangu Hawa watu hawajawah niangushaa

  • @DonMuyuya
    @DonMuyuya Месяц назад +350

    Mimi wa kwanza toka Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩😭😭😭

    • @jaelkitwa1621
      @jaelkitwa1621 Месяц назад +6

      Nous sommes ensemble mon frère, mois c'est depuis likasi

    • @uiptv365
      @uiptv365 Месяц назад +3

      🇨🇩🇨🇩❤️

    • @giressentumwa6906
      @giressentumwa6906 Месяц назад +1

      Sasa unaliya nini???😂😂😂

    • @user-Zadig
      @user-Zadig Месяц назад +1

      Tupo

    • @Special_tz
      @Special_tz Месяц назад +1

      Kwani unakula likes❤😂

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 Месяц назад +10

    Kweli usemi sina Harmonize ameonesha upendo wa kweli kwa nandy wimbo umetulia 🎉🎉🎉❤.

  • @bayaulemsee
    @bayaulemsee Месяц назад +12

    Kila mtu anaitisha tu za konde mimi nipeeni za African princess ❤✌️

  • @DaniRyobamarwa
    @DaniRyobamarwa 28 дней назад +1

    mnaujua music jamen asanten kwa kaz nzuri❤❤

  • @edisonotieno4660
    @edisonotieno4660 Месяц назад

    Nandy has waken up,she is not giving the young wanna bees time,she is the queen,harmonize is also killing kwenye vocal

  • @ezekiel-b3d
    @ezekiel-b3d Месяц назад +4

    Very nice song🎉Anayekubaliana na Mimi🖐️

  • @KelvinKapsara
    @KelvinKapsara Месяц назад +210

    leo nmekua wa 76 like ya harmonize kutoka Kenya ❤❤

    • @GenerousAzard-fq1ym
      @GenerousAzard-fq1ym Месяц назад

      😂😂😂 huta ongezewa tu tupo hapa boooooooooo🎉🎉🎉

  • @mwnaiditina2246
    @mwnaiditina2246 Месяц назад +2

    Nakupenda sana daa Nandy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b Месяц назад +1

    Bomboclaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @DanielMusau-c1h
    @DanielMusau-c1h Месяц назад +2

    Nandy wanatoanga vitu kali na Alikiba ila hili la harmonize n kiboko yao,,, much love❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marthaswai4305
    @marthaswai4305 Месяц назад +4

    Waoooo aiseee hi nyimbo Kali kinoma noma 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SifaEmma
    @SifaEmma Месяц назад +3

    Wachawi wawili.... Harmonize na majini ya baba ake na Nandy uchawi wa Sister ake...Aibu Tanzania 😭😭😭😭😭

  • @SambayetiModo
    @SambayetiModo Месяц назад +3

    Big one❤

  • @Jeffrey-v7d
    @Jeffrey-v7d 25 дней назад

    This is a great song, congratulations For my two artists that I would love until death Konde and Nandy the princess of Africa ❤❤❤❤

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 Месяц назад

    Kazi moja amazing maashaallah 🎉🎉🎉