Marioo feat Aslay - Pini (Track No.10)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 684

  • @MariooOfficialMusic
    @MariooOfficialMusic  5 дней назад +268

    Alooooh!! @@Aslay asante kaka. THE GODSON out now on all platforms 🎉
    africori.to/thegodson

  • @TTPTundeTupac
    @TTPTundeTupac 5 дней назад +99

    Aslay baba mimi mwanao wa kwanza nakukubali sana mzazi 🔥🔥❣️🔥🔥💪💪

  • @kishimwiloreu1222
    @kishimwiloreu1222 5 дней назад +141

    Ubaya wa ubwela wanangu wa Simba tuonane mwisho wa ngoma

  • @bernardwekesa8581
    @bernardwekesa8581 4 дня назад +34

    Nimerudia mara mia kwa ajili ta kakangu aslay, this combination is great, goma kali sana. Mario na aslay kenya twawapenda. Aslay come back

  • @Fresko.onaicimoD_music
    @Fresko.onaicimoD_music 4 дня назад +51

    Aslay yule yule tuliyemfahamu❤
    Likes zaaaaaaaaa🎉🎉🎉ke🎉❤

  • @SaidiNyange-m6m
    @SaidiNyange-m6m 5 дней назад +272

    Wanaosema aslay kaua tujuane 😎

  • @manuray2548
    @manuray2548 5 дней назад +35

    Aslay amemchapa vibya sanah marioo c sauti si flowing with vibes ...huyu kijana aslay yuko moto sanah .....Totoritoto

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 5 дней назад +19

    Daaah..!! Mbn Kam Umepaniy Kufany Ubaya Ngoma Za Moto Kwelii❤🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 5 дней назад +58

    Quality song wangap ambaoh mlikuwa m'mesha miss saut ya Aslay🎉🎉tukutane kwa comment na like mm nime chelewa bana

  • @saidiwizsantos4641
    @saidiwizsantos4641 5 дней назад +17

    Mkangafuu (Aslay king of melody Nimependa collaboration yenu Kali🔥🔥

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 4 дня назад +14

    Aslay kaimba sana humu kuliko Marioo, yaani PINI ndo kaufanya uwe wimbo❤

  • @princeogwelofficial4682
    @princeogwelofficial4682 5 дней назад +24

    Thanks, Marioo, for bringing Dogo back into the game ✊️ & 🔥

  • @glorymhapa7431
    @glorymhapa7431 5 дней назад +46

    Marioo nataka video ya huu wimbo i miss aslay❤

  • @miszky98
    @miszky98 5 дней назад +17

    Ngoma kari sana mwenyewe nimeachwa juzi hiz verse za malio zinanimadaa kinoma✅

  • @kenanallot7694
    @kenanallot7694 5 дней назад +15

    Anha hii babu kubwa. Marioo hajawah kosea ngoma kali

  • @allypandit
    @allypandit 5 дней назад +14

    Hit song kwa hii album🖐
    Melody 🙌🏽

  • @kitengediedonnee5190
    @kitengediedonnee5190 5 дней назад +32

    Who agrees with me that , this is the best song in this album...

  • @watambulaioci
    @watambulaioci 5 дней назад +12

    Aslay mtu wangu. Nakukubali sana

  • @sumailyselemane2956
    @sumailyselemane2956 4 дня назад +12

    Aslay, Marioo hi ngoma hatari sana🤛🤛🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ChuseManyengu
    @ChuseManyengu 5 дней назад +14

    Mwanetu kaamua kurudi home boy. #UbayaUbwela

  • @Sukuma_Tv
    @Sukuma_Tv 14 часов назад +1

    🎙️Marioo hajawahi kufunikwa kwenye nyimbo yake lakini hapa 🎙️Aslay kama amempeleka💯

  • @Kthenation
    @Kthenation 5 дней назад +21

    Tunaomkubali Aslay mnyama ❤❤❤

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 5 дней назад +22

    Aslay anajua Bwana ❤

  • @joshuawekesa19
    @joshuawekesa19 5 дней назад +23

    Aslay 🔥🔥🔥

  • @LynLinah
    @LynLinah 4 дня назад +14

    Aslay kanileta hapa❤❤

  • @Iam_cleva
    @Iam_cleva 5 дней назад +28

    Aslay kafunika❤️

  • @wallacelee182
    @wallacelee182 5 дней назад +14

    Marioo na aslay sure bet🔥🔥💪🇰🇪🙏

  • @neemamwangi4323
    @neemamwangi4323 4 дня назад +7

    Aslay daaah yaaaan n umeua kinyamaaaa yaani mpaka BHS ❤

  • @ansibertaprinaly926
    @ansibertaprinaly926 5 дней назад +24

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nyimbo imepoa sana mpaka utamu kma unakubaliana na me gonga like hapa

  • @ManyiziMusicStar
    @ManyiziMusicStar 5 дней назад +21

    Aslay kauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🙌

  • @Mr_G_Amarc
    @Mr_G_Amarc 5 дней назад +39

    Wangapi tume mkubali Aslay

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 5 дней назад +34

    Aslay ni mwamba na nusu...Aslay ni bongo fleva❤❤❤❤bigup Mario❤❤

  • @benedijinda6287
    @benedijinda6287 5 дней назад +20

    ❤❤aslay is bak aslay kadja na moto jameniii❤❤❤

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 5 дней назад +5

    Baada ya soba by marioo ft alikiba humu tena nimemsikia marioo akimuimbia Mungu ❤

  • @matulanga5269
    @matulanga5269 5 дней назад +6

    Ngoma kali aslay onfire… Nyakati ngumu hazidumu tuwe wavumilivu.🙏

  • @musadamasimusadamasi9876
    @musadamasimusadamasi9876 3 дня назад +8

    Aslay serikali imlipe mshahara HATA kama mziki hafanyi jamaa anajuA sanaaaaa

  • @hafidhlabdi-sq5rp
    @hafidhlabdi-sq5rp 5 дней назад +13

    Aslay 💯💯💯💯

  • @FavodaNizia
    @FavodaNizia 5 дней назад +10

    Marioo kumbe wewe simba?.kkk.mim nilikua sijui.simba muda mungine inafanha watu waongee ukweli wao.aya bana kalibu simba🫶🫶🫶🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @henrysimba9230
    @henrysimba9230 5 дней назад +38

    Ubaya ubwela! Mimi shabiki wa simba❤🎉

  • @bernardolinus4171
    @bernardolinus4171 5 дней назад +58

    Kama umerudia ngoma zaidi ya mara moja gonga like hapa❤❤❤❤

  • @zawadifodogo1581
    @zawadifodogo1581 5 дней назад +12

    Ila aslayyy❤❤ anaimba jamqni

  • @mathiasbosire7927
    @mathiasbosire7927 5 дней назад +25

    Kavibe kama ka Wimbo wa sina makosa 🔥🔥🔥🔥🦅

  • @MoneyKey247-fk4oy
    @MoneyKey247-fk4oy 5 дней назад +15

    Naomba like kwenye hii goma kali mkizingua kunipa like ntazingua soon

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 4 дня назад +3

    Aslay unyama mwingi🔥🔥🔥

  • @jastinsteward4196
    @jastinsteward4196 16 часов назад +1

    Aiseee Wana Simba 🦁 tujuane 🙌

  • @ramiiben7929
    @ramiiben7929 4 дня назад +5

    Ubaya ubweraaaa...mimi shabiki wa simba natoboa utopolo na pini wallahi

  • @memineandi
    @memineandi 2 дня назад +1

    The chemistry between you two is greeeaat! More collabos from you two❤❤❤

  • @jose_willy79
    @jose_willy79 4 дня назад +4

    Linapokuja suala la kuandika Aslay na mbosso ni atar🔥

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 3 дня назад +2

    Uyu sasa ndo marioo🎉🎉🎉🎉

  • @CedrickNshirimana
    @CedrickNshirimana 3 дня назад +1

    Arbum kar San ❤❤ Mario anajuwa kuimba zayid yabengine namupenda San gutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮✌️✌️

  • @DanbLaurent
    @DanbLaurent 5 дней назад +6

    Sawa ni mekubali kazi Kali mjini tena mdogo angu asleyiii kaributena mjini

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 дня назад +2

    Mmetisha sana ilikw naisubiri sana hii ngoma big up sana bad na Aslay❤🎉

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 3 дня назад +2

    We Aslay Babaaaa Ubaya ubwelaaaaa

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 4 дня назад +7

    Tulio.frahi.kumuona tena.aslay.gonga like apa.🔥🔥🔥🔥

  • @gidionjames1683
    @gidionjames1683 4 дня назад +5

    UBAYA UBWELA ♥️🦁🇹🇿🔥

  • @winner_bite
    @winner_bite 4 дня назад +1

    Aslay ✈️✈️✈️✈️🚀🚀🚀🚀💥💥💥💥

  • @hezronhaule297
    @hezronhaule297 5 дней назад +5

    Ubaya Ubwelaa🔥🙌

  • @Khellymigeyo-u2u
    @Khellymigeyo-u2u 5 дней назад +10

    Kaliii hii kakaa

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 5 дней назад +2

    Badi ni wa moto hashikiki ni noma 🔥🔥🔥

  • @Kalolitv599
    @Kalolitv599 5 дней назад +6

    Aslay melody 🔥🔥

  • @druumarley2159
    @druumarley2159 5 дней назад +6

    Aslay fundi kabsaaaaaaa❤❤❤

  • @richbecco7469
    @richbecco7469 4 дня назад +2

    Aslay Bado mzima sana... yupo fit ila huu wimbo marioo na Aslay wamefanyiana Ubaya ubwela

  • @Stin_Tv
    @Stin_Tv 5 дней назад +5

    Aslay 🙌🙌🙌

  • @MylesAmufa
    @MylesAmufa 5 дней назад +2

    This guy is a poet 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @daverboy_official3833
    @daverboy_official3833 5 дней назад +6

    Aslay mzée🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LinusJohn-t6m
    @LinusJohn-t6m 5 дней назад +1

    AAII MAMA WEEH, NAONA FURAHA, NASIKIA RAHAA, TOOOH...TOOH. nilimisi sana hizi backvocals za Dingi Mtoto

  • @adamswafi5149
    @adamswafi5149 5 дней назад +15

    Naona hii ndio ngoma kali kwa hii album, chemistry iko 🔥🔥

  • @djivantz
    @djivantz 5 дней назад +5

    Aslay 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @ZuwenaHassani-y8q
    @ZuwenaHassani-y8q 4 дня назад +4

    Asant marioo kwa kumfufua Aslay wang❤

  • @BrunoMazz
    @BrunoMazz 3 дня назад +2

    Let's support our African music 🎶🎶 to the world 🌍

  • @laurentndowa2304
    @laurentndowa2304 4 дня назад +3

    Marioo Kwa Ushauri wangu Tengeneza Chemistry Na Aslay, Mkiwa p1 mnakitu , Mtakuwa kama Diamond na Jux, Ani Shabiki watapata attention wakiwaona hta pamoja tu, Aslay Anajuwa Mno

  • @emmadizzo5684
    @emmadizzo5684 5 дней назад +6

    Sija chelewa sana team dizzo

  • @LupeSelam
    @LupeSelam День назад +1

    Yooooh❤❤❤my aslay😢❤❤

  • @BizoMenya-h1v
    @BizoMenya-h1v 4 дня назад +3

    Kizuri kinasikilizwa tu bro unajua hongeraaa

  • @Allenafro_ibo
    @Allenafro_ibo 5 дней назад +6

    Wazeee we2 wamelibaliki🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @KeddyJay-d6s
    @KeddyJay-d6s 5 дней назад +5

    Aslay🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💙

  • @StarboyTheMagic
    @StarboyTheMagic 5 дней назад +3

    My favorite Bad💯💥💥

  • @saidbabaali9082
    @saidbabaali9082 5 дней назад +4

    ASLSY gud vibe this gonna be my favourite @Godson album

  • @shebbysadiki
    @shebbysadiki 4 дня назад +2

    Hii ndio ngoma yangu pendwa

  • @seriescaps
    @seriescaps 2 дня назад

    Aslay is a real G.
    Ameikanyaga kweli, kama vilee🤗

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 5 дней назад +4

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @MimaMummy-zk2qi
    @MimaMummy-zk2qi 2 дня назад

    Aslay ni mmoja tu🎉 hongera mario kwa kumshirikisha baba moza❤

  • @MamuAbou
    @MamuAbou 5 дней назад +2

    1:54 Aslay once again🎶🔥☄️

  • @zuleajim7881
    @zuleajim7881 5 дней назад +3

    From Uganda 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @Shizo_Montana
    @Shizo_Montana 5 дней назад +4

    Aslay 🔥 🔥 🔥

  • @DM_15
    @DM_15 3 дня назад

    Aslay weeeh umeua kinoma ❤❤❤❤❤

  • @BrianMwau-su1bl
    @BrianMwau-su1bl 5 дней назад +3

    In the Album this the best🎉🎉🎉
    Fr fr repeat on 1😢❤❤

  • @NyamweziOg-b8b
    @NyamweziOg-b8b 5 дней назад +3

    Mung kwannza 🎉🎉🎉

  • @yuchaclassic6154
    @yuchaclassic6154 4 дня назад +2

    Oyaaaaa aslay umeuwaaaaaaaa kaka ludi kwenye game

  • @osmoboymusic254
    @osmoboymusic254 5 дней назад +44

    Aslay to the world 🌎❤❤Piga like kama unakubali.

  • @SaimonMhuwa
    @SaimonMhuwa 5 дней назад +2

    Hii nyimbo ndo ingekuwa track no 1 etii

  • @AllyJuma-me6gf
    @AllyJuma-me6gf 4 дня назад +2

    Nan ameona mguu wa kushoto wa marioo kweny ngazi unatetemeka

  • @mtc.shikamoohmoney
    @mtc.shikamoohmoney День назад

    Aslay welcome brother to the industry we missed u

  • @JacksonMboso-c2r
    @JacksonMboso-c2r 5 дней назад +5

    Aslay 🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @angelinajoseph1248
    @angelinajoseph1248 4 дня назад +2

    weweeeeee hapo ndo nimekuelewa sasa Simuombei mema UBAYA UBWELA

  • @PhilbertPhilipo
    @PhilbertPhilipo 5 дней назад +6

    Wakwanzaaaaaaa

  • @jflycommanderhofficial
    @jflycommanderhofficial 5 дней назад +4

    Kali more love from Kenya Nairobi

  • @HalimaismailySaid
    @HalimaismailySaid 5 дней назад

    Ubaya ubwela me ni simba 😊😊❤❤❤umeua hii ubaya ubwela umeingia mjini sasa

  • @benten7137
    @benten7137 2 дня назад +2

    🔥🔥

  • @AlimurshidBayubahe
    @AlimurshidBayubahe 3 дня назад

    Dah Marioo thx for bringing back Aslay🎉