Wowuuu huu ndo muda wa kubonyeza kwa hili neno subscriber mnanifulahisha Sana . ndaro akiwa na stiven mpango yao ni hatali . Kwizera Hamza from Rwanda. kwa kiswahili unite Kuamini Hamza . Shukran Sana wazee wetu tunawapenda zaidi . ila msinicheke kiswahili changu sio kizuli cha muhumu ni maoni yangu. Tuendelee .....
😂😂😂😂😂😂ndaroooo au basi nishaelewa .... Steve hiii njia inatoka..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kazi nzur nawakukubar sana
Nawakubali sio nawakubar
@@TamimuIddnn
😂😂😂😂@ndaro @steve. You guys have good chemistry. Mnajuaa, yaan hata bila script nyie ni vichaa tayari.
Vp naomba like zangu
❤❤❤❤❤❤❤
Omba omba wa like mnoboa😊
Daah Yan me sjawah kupat like zang
Mmetisha
mekubali
Lazma uchekee
Kak usiofu utapat
We mdada una mtoto
Are you hungry? Why not😂😂 ...kizungu cha steve😂😂
😂😂😂
Nikwel
Ningekuwa pia mchekeshaji lazima ningemshirikisha Steve Moses...talanta haswa😅
#fan no. 1 toka Kenya
Daenjoy sana kuwacheki hawa jamaa 😂😂💥
Hayo majagi ya kunawa mikono sasa😂😂😂😂😂😂mi hoi😂😂😂mwaka huu 2023 😂😂😂
nakubali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aiseee nmecheka too much mpaka tumbo limeniuma gaflaa yaan nyie stive na Ndaro salute😂😂😂😂🙌
These people always impress me keep it up u guys
You killed it guys😂😂😂
Wowuuu huu ndo muda wa kubonyeza kwa hili neno subscriber mnanifulahisha Sana . ndaro akiwa na stiven mpango yao ni hatali . Kwizera Hamza from Rwanda. kwa kiswahili unite Kuamini Hamza . Shukran Sana wazee wetu tunawapenda zaidi . ila msinicheke kiswahili changu sio kizuli cha muhumu ni maoni yangu. Tuendelee .....
Nmejiwahisha mie 😂😂 mnilike Sasa
😂😂😂kwani tunaondoka na vyombo😂😂
Gud job ndaro and Steve, keep it up ❤️ ❤️ ❤️
Am from USA Hawa wamba ni noma 😅
My favs...we love you from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
i am congolese 🇨🇩 Steve mweusi and ndaro super guys
More love from 🇰🇪 ✌️✌️
🫂🌹👌
😢😢😢😢😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮@@josephmaina-vm1lc
We dada mambo
Unamjaa ❤❤❤ ndaroo
@@Chazyassengapouwer
👏👏👏👏👏Hapo Hapo vijana kbs 😂😂😂😂!!! Kula nyama 😋😋😋!! Na leo Steve umetumia Hakiri kwa kumkamata mwizi mkubwa 🤣🤣🤣🤣
Naipenda kuona mavie sako ndaro nataka nikuone siku moja
😂Steve ambia ndaro atoe boshori next time... keep it up guys for good participation.....@ke🇰🇪
Aaah with Steve and Ndaro,never stressed.
Hahahahahah unapelekw jela umeshiba😢 ila Steve unakit chaj mbngn🎉
Hii imeenda kwa stive na ndarooo c.o pw nawakubali😂😂😂😂😂😂😂❤
Ile elfu kumi na nane ya Tz naskia ni thate fae bob ya Kenya 😅..anyway much love guys
Divide by 16 ama 20
Jidanganye Yani hapo ni sawa na sawa ksh.900
😂😂 alafu akimaliza aje kunakitu muhongee
😂😂😂😂 Steve Leo kimekulamba 😂😂😂
Ila Steve na ndaro😂😂😂😂😂😂Mungu azidi kuwabariki 🙏
😂😂😂 nimecheka njoo tu chekee huku😅😅😂😂 mwisho ndaro kitazi ndaro ameniuwa stivuuuu😂😂kula chuma icho
😂😂😂elfu kumi na nane kwani tuna ondoka na vyombo😂😂
❤❤❤❤❤
Very good mnanifurahisha xan❤❤❤❤❤
Njoo tuchekee huku😂😂 mwenzako Sina nguvu za kuja huko🥳🥳
😂❤❤ steve na ndaro wananipa laaha 😅😅😅😊😅😅😅😅
Nimejikuta nacheka kwa sauti aisee ndaro na stive😂😂😂😂
Walai hii n moto 😂😂😂😂 lakin steve aajikaza kimombo 😂😂😂😂 ebu atafsiri "dont u forget me and u" 😅😅😅😢😢
Muito talento envolvido ✌️ one love diretamente de Moçambique...nawapenda sana
Njoo tuchekee huku😂😂😂😂
Machi lavu kutoka kenya
Nilikua nime miss sana kazi yenyu watu wangu hii ni from 🇨🇩
Ondokeni na vyombo 😂😂😂
This two boys are very talent
Nivu mposti shemeji tumjue😂😂😂😂😂😂😂
Stivu mposti shemeji😅😅😅😅😅😅😅😅😅
These two boys are greatly talented.
Halafu sio nzuri,,,,,,wamempea huyo muhudumu wakati mgumu,,,,halafu tena mwisho nmependa sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣, pale mwishooni, ety Steveeeeee😂😂😂🙌🙌🙌
You never disappoint bro.....keep up.
Kenyans love you❤❤❤❤
Na nilikuona na brother yangu Tom Daktari
Oyaaaah jaman part two itakuja lini😂😂😂 yaan nime cheka hatri😅😅😅😅😅😅😅
Da kweli mnaweza
Nimechoka Hadi mbavu zinauma ndaru na sintiv m 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We hatari,san
Duh kiukweli huwa mnanifurahisha sana ❤❤❤❤
You've made my day 😁😁😊😁
APA KAZI ilichapwa vizuri sana, mulitaka munipasuwe na macheko😁😁
hii nzuri unapelekwa jela ukiwa umeshiba😂😂😂😂😂😂
Jose,smon
Yaani ndaro na stevu mnaombeafa chakula kwelimasn naona mnavamia tu 😂😂😂😂😂
Hahah jamaa hawafahi yaan kila wakitoa hawakoseiiii 😂😂
Ahahahahahahahahahahahahaaaa!! Shida steve kamchoma ndaro
Kwamb elfu 18 unaondok navyombo hahahaaa 😅😅😅😅😅
Vocês são melhores comediantes de Tanzânia , amo vos muito, from Mozambique, natamani siku moja tuwe pamoja i love too much 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kumbe unajuwa kuandika kiswailii vzr alafu una jishauwa kuandika upwiruu apo, sijapenda 😂😂😂😂😂
😅😅😅😅 hatar sana
Kwani Awa Steve na ndaro wenitunza stresse 😀😀😀😀😀🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ninoma san😅🎉😂😂😂😂😊❤
Ndalo. Awezi Ku kaushia 😂😂😂stv akisema ndalo ana jikuta amesh cheka
U always made my days u guys I love u so much 😂😂😂😂😂😂
Azam aza!Azam
Vipi❤
😮😮😮
Et tukitoka apa tukacheze dubu😂😂😂😂 dah nmecheka sn
hawa jamaa hawana akili😂😂😂 nawakubalisana
Ndaro na Steve hamjawah kuw n kaz mbovu asee🎉🎉
Always my crush steve❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅unapelekwa jeraa umeshibaaaa😅😅😅
Hahhahaha kama umecheka nipe like ata mbili 😅😅😅
Kula hii
hatari sana😅😅 content
😂😂😂😂😂
Ha better 😢😢😢😮😮
We ni boys
Napenda huyu mrembo Meri ahk 🥰🥰
Jaman kila siku nawapa like na mimi jap like 10❤❤
Pokea hii
@@BonnyMwajombe-iu7hb
Ok 👍
❤❤❤❤
🎉
Kwan likes huwa mnaziuza au!! Selew ujue
nawapenda toka congo ndaro na Steve mweusi😂😂🎉
My favourite comedian ndaro mwenyewe ❤❤❤
Ndaro🔥🔥 na Steve mweusi🔥🔥 munaniuaga sana😂😂😂
😂😂😂😂😂lakini nyinyi zamani mume niuwa na furaha Léo kabisa nyinyi niwa Noma kweli mimi ni shabiki kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤😅😅😅😅😊
Kilos chasimba
❤
😂😂😂😂Basi sawa tukubaliane hawa jamaa noma sana
bro, your comedy is very good you know it very well
😂😂😂😂😂😂😂kazi iko hap😂😂😂😂😂😂kwa stv mweusi lazima uchichanganye
Are you hungry??
Why not🤣🤣🤣🤣🤣
Hii advert ya club sunset ni motoooo ....one day will visit from Kenya
From +254, I heard Steve requesting for 'Wali Makange' however he was served 'Wali nyama' or Makange' ndio Nyama'
Ety bana ata nashangaa awa wabongo
😀😀😀😀
Makange ni hizo greens umeona😂........though nimefanya kuassume sababu unajua sisi Wakenya na kiswahili biana😂😂
This two😅😅😅
This two😅😅😅
My favourite comedian
Kwa kwel ndaro na Steve wapambane mpaka nacheka mwenyew e😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂 too funny 😂😂❤❤❤❤
Dahh hawa nguluwe wakikutanaga kipengele et...😂😂😂
Hii imenimaliza mwisho😂😂😂😂
Ngoja nicheke kwanza 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mapema sana Leo like 3 tu zinatosha
Ay Usha pata 140
ruclips.net/video/E7z0dkeIdtM/видео.htmlsi=O4iwh9Netyqzkch4
😂
Auxiy
Puuuuuuuumbaaaavuuuuuuuuuuuuu
Tukitoka hapa tukacheze dubu 😂😂😂
Steve au basi achatu 😂😂😂😂😂
Huko club sunset mna inzi😂😂😂
Big up tu sana stevoo na ndaroo
et ukimlz kun kit tuongee😅...chakimwil 😂😂😂😂
Chakula kitamuuu❤❤
😂😂😂 kanifrahisha ndalo ajala bila kusali
Vp broo ndaro uko poa broo wangu karibu Kenya broo mimi nko ukunda ni seifu charo uyu nakubali broo
Hhaahha😂😂😂 kudadekiii leo kwl mmeyatimba wahuni wa kariakoo na popcorn 🍿
Lazima tuwape maua yao awa jamaa wanajua sanaaaaa😂
Sema hii nzr unaenda jela umeshibda 😂😂😂
Steve and Ndaro 💞💞
Awa watu nawapenda sana 😂😂😂❤
Wakwanza leo naomb❤