This collabo is a hit🔥🔥🔥walai big up my all time best rapper Darassa alongside Zuchu , wimbo huu unaenda kukuwa nambari moja na utakaa pale juu kwa muda sanaa, kazi safi Darassa and Zuchu💪💪💪❤️❤️
S2Kizy umepiga instrumentals vizuri sana mnyama ... Good song aisehh.... bongo fleva flani yenye vionjo vya vile vitu vya Africa Kusini ... Salute mzee 😇😇😇
Kama unakubali darasa ana style ya kipekee kwenye kuchana na zuchu ni mkali wa sauti GONGA LIKE YAKO
Tunaoamin hii nyimbo unaenda trending nomb 1 na itakaada mrefu sana huko kileleni gonga like hapa tujuane
Làbda watu wasitoe nyimbo,kwanza marioo tukumtoa inawezafel
NYOKO 😂
Kow huyu jamaaa comment
@@hansonjosephat8344 🤣🤣🤣🤣
Ngoma ni Kali sana
Darasa kila siku ni hit song...hachoshi...RESPECT
Wale wa gud vibes real melodies na mziki bomba tu gonge like hapa 🎼🎼🎼🎧🎧🎧
This collabo is a hit🔥🔥🔥walai big up my all time best rapper Darassa alongside Zuchu , wimbo huu unaenda kukuwa nambari moja na utakaa pale juu kwa muda sanaa, kazi safi Darassa and Zuchu💪💪💪❤️❤️
mimi ni fan wa Darassa na Zuchu sababu ya uandishi wao.. hii ndio zile nyimbo unaziona na kuclick chap 👏
Mimi ni shabiki wa DARASSA LAKINI SIJAWAHI PATA LIKE KWENYE NYIMBO ZAKE 😢😢😢
Ushapata like nyingi sana
Unatupatia ladha kamili
True story
Juliet 😊
Wewe mu huni
Darasa ajawah kukosea ila kwa hii ngoma imezidi utamu zuchu ametulia kaimba kiutu uzima ngoma romantic❤❤❤❤❤❤
Anajua sanaa kweny hip hop yeye ndie mfalme
Anabalaa sio poa aseee
Team sio team bila kocha
Sim ni sim bila vocha
Kama naiona daah..ikianguashwa
For kenyans who appreciate this two artists lets gather here ... drop that like
😊😊mim nina shida ya best mkenya
Wanangu hakuna Bongo msanii anaewapatia madem kama Jay Melody. 🤝. Like zake naomba hapa From Kigoma Tow
Sio siri hii ni hit song i like the way zuch slide on that beat ❤❤❤ kama kweli like zao hapa
Without her can't live
Big collaboration of the year
You did my brother
Never live alone
He can't disappoint me
Darassa unajua baba la baba umekiwasha na umetoa darasa you're a living legend 🚀🚀🚀🚀
Kama Unakubaliana Mimi Mr. Burudani Ameuwa Humu Ndani Nipeni Likes Zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Who is Juliet
This song mean that three suitors one husband
Ntarudi huku tena kuiskiza wimbo huu mtamu mkinilike🎉💯🔥🔥
Sawa bana
Ila darassa n kiboko yao aseeeee….bonge moja la Mruko ruko
Mr Classic..CMG ceo 🔥💯🙏Hii ni zaidi ya kazi safii wakuu#official Zuchu 🙏well appreciate
Always making perfect delivery japo ni kama zuchu kapendezesha sanaaa#Darasaa ndo jina alilopewa na mwana FA
Wangap wameshutkia darasa anapenda sana haya maneno.INFORMATION,CONNECTION,UPDATING,APPRECIATION,KUDADADEKI,PRIVATE
Tangu nimfaham darassa hajawai kosea
Nasikilizia nyimbo zote pasipo kurudia
Uyuuu mzee apewe Dunia yake
Balazi wa amani ya hip hop
Ujengewe sanamu mzee
💥💥💥
CMG unabaya kaka umetisha
Respect for zuchu atar atar kama SIMM uko kisauti anavyokifinyia ndani❤❤
Darassa sjawahi kukupinga since day 1 uko vocal kali Matozy tunakuelewa san
Nyimbo kali sema uongo hatupendi saa ngapi sahizi 😯
Zuchu ni namba nyingine, sema ni vile anakubalika sana na wanaume
Make Love 🎉🎉
Lalalala appreciate your love babe
Sweet chocolate
❤❤❤
Im from 254 ngoma yamoto ii haipoi,na nikipata likes tano nitafurahi subs guys
Unaweza kupita kwenye mlango hukatokea kwenye Dirisha😁😁😁 Noma sana💥💪
Oyi oyii igunga hiyo tumebakisha vyumba u tupo namba 8 ila lengo letu na one number gonga like twende sawa 🙌🙌🙌
Mzik
0:00 0:00
Waw nice song wameuwa kitu tamuuuu na tofauti
Kutoka Kenya 254🤌What a sweet song😮💙noma kuliko homa😅
Darasa Darasani tuliomsubiri kashafika more than genious..kama mbinguni ni kuimba na kusifu Darasa awe kwa list ya watumbuizaji
Hivi unazani kwanini akajiita Darasa,yaani yeye ndo shule,mwalimu na hata mwanafunzi...huyu ndo mkali wao💥
Enjoy good music
Favorite song
New chemist in town
History made
Walai.naomba like zangu maaan nakufa mimi nahii myimbo apo tu romio please
😊😊😊y is it😅😅😊😊😊😊😊😅t
❤❤❤❤...my
❤❤❤❤❤❤
kweli hii ngoma tamu sana
umapata from brussels
Zuchu umepita bwana ww Dada nikiboko diamond anamacho Sanaa hicho kipaji cha zuchu mondi kitampa hera anajua Sanaa kitikio umepita kama sio ww❤❤❤❤❤❤❤
Zuchu mtu mbad...love you and watching from Kenya ❤❤❤❤
kenyan from brussel
Uko juu Darasa best collabo zuchu sweet chocolate 😊
Melody kali sanaaa, afu kawimbo katamu sana,ila zuhura 🔥
Tulio mfata zuchu weka like❤. Ap
❤❤❤
Love song bado ni hit wameua sana trending lazma moja❤
Hii ngoma cyo poa..aisee darasa anajua sana zaidi ya sana
Hii ngoma ni zaidi ya 🔥 🔥 Darassa Zuchu mmeuwaaa
Nmejikuta nafananisha mistar ya Darassa na mistar yangu ya FOREVER pamoja na flow
Kazii safi sana wameua kinomaa hasa zuchuu fund kaptaa Vzr kweny melody
Mpinzani wa Daah ya nandi sasa Ndo amefika rasmi big up 255 cmg
Wow this is a global hit darassa my gee 🌊❤️❤️ plus the queen with sweet vocals and melodies
Hivii hii nyimbo ni fupi au utam umezidi aisee 🤗🤗🤗 it's perfect hatar fire
Utam umezidi❤
S2Kizy umepiga instrumentals vizuri sana mnyama ... Good song aisehh.... bongo fleva flani yenye vionjo vya vile vitu vya Africa Kusini ... Salute mzee 😇😇😇
Nyimbo nzuri imetulia ,Darassa n'a Zuchu ❤❤❤
Kazii safi sana wameua kinomaa hasa zuchuu fund kaptaa Vzr
Zuchu kipenzi cangu Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Allahimma Ameen
Allahumma Ameen❤
AMEN ❤❤🎉
Super star
Born to win forever
Aka kagoma kamenigusa moyo anyway kama wewe ni mpenzi wa muziki mzuri kama mimi gonga like apa tuishi nayo hii ngoma🔥🔥🔥
Love is asset
Thanks for good 🎵
Oooh my baby sweed chocolate
Huna baya mr burudani haujakosea kumshirikisha dada mwenye maujuzi yake👑
I am from south Africa but this song number 1 ❤
Hivi,Mmeisikiliza vizuri hii ngoma??? ni hatariiiii🔥🔥❤❤
🎉🎉🎉 mpenii maua yake mwamba huyuu🙏🙏🙏🔥
Wagwan 👊👊 one of the unexpected collabos. Big up boss. Mad ❤ from KENYA 🇰🇪
Darasa umeupiga mwingiii team wasafiii mko apiii
Me nawee tuna connection
No second option
Sim sio sim bila vocha
Mahaba niuwe nishut gun
Jamani aaaa zuchu katishasana jamani eeeee yani utam adikwenyetundu lachokubwa ❤❤❤❤
Ngoma iko sawa sana. Hio vibe imeweza. Tunangoja video kitu kali sana 🔥
Kudadeki zuchu ume uwa sana bonge la coras
Wenye mziki wao wamekutana kufanya mziki pamoja🔥🔥🔥🔥🔥
DaRASSA NA ZUCHU are killing me
We killed
Big level
Good banger
Zombie make it perfect
Hiii Ngoma Ni Barida Sana.... Darasa Kaua Zuchu Kafinisha❤️💯✌️
Kabla ata sijaisikiliza Ii nyimbi nakomenti ivi darassa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Darassa rasilimali ya tz🎉🎉🎉 mm shabiki yako na ujawai kuniangusha
Uhakika kaka
Ata mie pia
Hajawai kukosea
Much love from congo 🇨🇩
Huja wahi ni angusha darassa huru na vipindi vyako nkuku Bali San bay th way nasubili joto la studio n mondi
Daaaaaaah Classic Music , HAKA KANYIMBO KATAMU KAMA UJI WA ULEZI
Kama unaitaji tuzo iende kwa DARASSA gonga like yako hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥
more love from kenya 🇰🇪🔥🥰
Jamaa umekuwa wa kwanza
@@nkanenoel8357 kabisa🤗😅
@@nkanenoel8357kabisa 🤗
mr burudani take away the pain💥🔥🔥🔥🔥
The type of song we need in TZ. zuchu anajua bana 🎉🎉🎉
Anapaswa kuimba kwa utulivu kama huu so perfect
Hiyi nyimbo naiskiliza mala kumi kwa siku moja thank u my Big brother Darassa❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ila zuchu ni fire dah what a song absolutely brilliant❤
Darassa never disappoints & Zuchu has nailed it on this jam. Much love for both of you from D.R.CONGO. Give me some likes guys
Darassa ni king 👑 Zuchu kasimama kama 👑🎉🎉🎉 #CMG FO LIFE
Tunakubali Bi zuhura ameitendea haki, gonga likes 👏
Sana 🎉🎉
Unajua broo
Darasa
Mr butudan
Mr burudan
Diamond zuchu hajakupendea hela acha kuhutesa moyo wa mwenzako mzee baba
Darasa hujawai kutuangusha....mad love from Kenya
This so biggg just Dayoo angepewa verse ingekuwa so biggg 254 is watching 🎉🎉🎉
Very true aisee
zuchu fire 🔥🔥
Definition of Good Music 🎶❤
Wodadadang.......Wodadadang gang gang mahaba niuwe nishoot gun gang gang....Big up Darasa
Kila mtu wakwanza sw, Wanangu nakuja wamwisho basi nipe hâta likes 10 tu!❤
Nawapenda sn ndugu zangu wa Africa
Hakika huu mwaka darasa anatuonesha mengi sana kwakwel
You kill it blood, romio ,hit in town
Zuchu kaua sanaaa kwenye chorus ✊🏾✊🏾✊🏾
Kudadeki bonge la nyimbo... Tanzania tunaenda kinoma...
HII NGOMA ITAKAA SANA TRENDING 🎉🎉🎉🎉
Zuchu anaimba vizuri hadi mwili unasisimka
Xanaaaa zuchu anajuaa
Kaimba xana zuchuuu
Anajua xanaa aa
Zuchuuuu nomaa xana
Fundi kbxaaaaaa
Hii NGOMA iko noma sana❤... Nipeeni likes
Nice song from darrasa nice melody from zuchu🔥🔥🔥
Iyi beat hata sisi wahuni imetufika kiufupi tunasonga nayo tumeipitisha hiindio ngoma yakwanza ya mapenzi wahuni tumeipitisha ❤
Zuchu hawaezi mfika ata dakika coz ni fundi wa mapenzi bana❤️😘
Zuchu mtu na nusu🔥🔥🔥
Ngoma imeenda iyoo noma sna
Effortlessly good 💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God hii nyimbo imenifanya nikatengeneze Bluetooth yangu uwiii song kali kinoma
Zuchu bwana unanitamanisha kuwa star
😂😂😂😂😂😂
Zuhura wewe daaah unajua
Darasa forever
ZUCHU Anajua bhana ❤❤
The way how zuchu mixed up the vocal and sound😢😢😢😢🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉❤❤❤
darasa ever wangu